BizzzEnglish

Msaada

Unahitaji msaada?

Tuandikie support@bizzz.africa. Tuambie namba yako ya simu, ulichojaribu, na kilichotokea. Tunajibu ndani ya siku moja ya kazi.

Maswali ya kawaida

Sikupata msimbo wa SMS
Angalia mtandao wako, subiri sekunde 60, kisha uombe tena.
Nimebadilisha simu
Tuandikie kwanza ili tuhamishe duka lako, kisha ingia kwa namba mpya.